Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Tusaidie kutupa vile vifaa vya kupunguza tumbo
 
nafikiri badala ya kumshambulia mleta thread tuichukulie hii kama changamoto,wake kwa waume tujitahidi ku-control body weight zetu kwa kuangalia chakula tunachokula na kufanya mazoezi....vitambi si afya kwa wanaume na wanawake

cc: Karucee
 
Last edited by a moderator:
tatizo mtu anafikisha ujumbe utafikiri yupo kwenye jukwaa la mipasho
Hahahahaaa Binadamu tuko tofauti wengine kuongea taratibu hawajui kwa hiyo muwasamehe tu ilimradi ujumbe uliokusudiwa umefika
 
unatafuta namna nzuri ya kumwambia bila kumuumiza


kweli itakuweka huru

natamani nikupasue hilo bichwa niweke akili nzuri

huwezi kuwa binadamu unaependa mambo laini laini tuu
 
Hivi wewe utajisikiaje ukiambiwa na mpenzi wako tumbo lako baya?

Mpenzi wangu atatumia njia ambayo haitaniudhi,

Lakini sio kama alivyoeleza mtoa uzi.

Sidhani kama wewe unapotaka kumwambia mpenzi wako jambo ambalo ni la kumrekebisha utamwambia kwa staili ya kumkera na kumkwaza,

Zipo njia polite za kumwelimisha mtu.
 
Back
Top Bottom