Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
wapumue kupitia 'tundu' lipi? kindly specify/
Unalopumulia wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapumue kupitia 'tundu' lipi? kindly specify/
mxiuuuu!shika adabu yako wanawake wa JF hatuna vitambi usitufananishe na uswazi kwenye mishkaki ya sh 100 eboo.
ah!mi ananikera ye mwenye kaandika as if wanawake wote tunavitambi.hahaha! Umenifurahsha utadhani umetuona wooootee!!
mh we mbebes vip na mtambi wako!!...mapovu yanakutookaa!!
yani sijui yukoje huyu jamaa.Naona upo kwenye harakati za kujaza posts ili ulipwe!!
huyu jamaa ni bwabwa wala usimujudge,yani sijui yukoje huyu jamaa.
unajidhalilisha tu na huu uandishi wako
nauza kataweight na nguo nyingine za.mazoez naomba wadada wenye matumbo mkaribie ili msimkasirishe holygrail! mkanda sio suluhu..suluhu ni mazoez tuu
Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..
Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!
Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!
Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..
We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!
dr.holygrail
Obesity & related health problems ina-stress health insurance ambayo watz sote tunashea.