Duuuh punguza ugomviNawaoneaga huruma, honestly. Unamkuta kavaa tishet ila ukichek tumbo limekatika katika kama hivi huyu hapa alivyo
πππ
View attachment 2907189
Hapana mkuu..Punguzeni matumiz mabaya ya kula kula hovyo na mipombe wanawake.. take controll of your bodies ladies.Duuuh punguza ugomvi
Duuuh yaan kitambi kimeshuka km umekifanya nini?Hapana mkuu..Punguzeni matumiz mabaya ya kula kula hovyo na mipombe wanawake.. take controll of your bodies ladies.
Mkivaa jinsi unaona kabisaa kitabi kimeshuka kama umekibebelea
[emoji1787][emoji1787]Wanafuga hasira na jazba humo vitambini
Angalia ni nini hiko ndaninya jinsi kwa mbeleDuuuh yaan kitambi kimeshuka km umekifanya nini?
πππ π¬ Punguza kidogo ugomvi π€£Angalia ni nini hiko ndaninya jinsi kwa mbeleView attachment 2907221
ko umeamua kunisema live ππundugu wetu na uisheAngalia ni nini hiko ndaninya jinsi kwa mbeleView attachment 2907221
nimemalizana nae tayari
Achana na huyu. We kakitambi kako ni flan amazing..lain lain ukikashika kana msisimko..kama vile vitambi kama vya wale wasukuma chapatko umeamua kunisema live ππundugu wetu na uishe
Labda nsikukamate π€£ntakupiga risas mpaka ufeumeniitaππ
Achana na huyu stow away hajui tulipotoka, wivu tu unamsumbua. We huna kitambi..una kijitumbo.nimemalizana nae tayari
unanipanga sitakiπAchana na huyu. We kakitambi kako ni flan amazing..lain lain ukikashika kana msisimko..kama vile vitambi kama vya wale wasukuma chapat
ππππndo kitambi changu hikoLabda nsikukamate π€£ntakupiga risas mpaka ufe
Unakitambi cha mazoezi mkuu?Hakuna hayatibu yanaongeza
Mimi sixpack sio ya mazoezi nimezaliwa hivyo IPO tu Sina kitambi na sijawahi kua nachoUnakitambi cha mazoezi mkuu?
Njoo nikuandikishe uanze gym programππππndo kitambi changu hiko
Sio wanawake wote wanaweza kubana matumbo baada ya kujifungua especially wanaojifungua kwa op. So kitambi kipo na kigumu kutoka ndio maana wengine wanaenda kufanya surgery ya kukitoa.Hivi kuna kitambi cha uzazi? Unasema ukweli?
naomba hiyo hela baba anguπNjoo nikuandikishe uanze gym program