Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie wenye vitambi roho zetu nyeupe sana 😂😂😂Sema kweli aunt
Pole yakeanakizoa babe 😂😂😂
anakipenda mpe hongera😂😂Pole yake
Mmmh labda Ila sidhanihapana bhana wanawake wenye vitambi hatunaga hasira wala jazba wewe
umeniita😂😂Kitambi & ndevu🙌🙌🙌
tuko very cool jamanMmmh labda Ila sidhani
Hakuna hayatibu yanaongezaHivi mazoezi inatibu kitambi????
I see maybe but I don't think sotuko very cool jaman
KabisaSie wenye vitambi roho zetu nyeupe sana 😂😂😂
ayaI see maybe but I don't think so
Hivi kuna kitambi cha uzazi? Unasema ukweli?Sioni kama kuna uhusiano. Maana unaweza kua na tumbo flat leo baada ya miezi 9 ukawa na kitambi cha uzazi. Ina maana tabia zitabadilika
heeeAfu ukute yule ambae akikaa kinamwagika, wanakuwaga na makasiriko hatari🤣🤣
DuuuuhHuu ni uongo