Wanawake wenye vitambi

Wanawake wenye vitambi

Sio wanawake wote wanaweza kubana matumbo baada ya kujifungua especially wanaojifungua kwa op. So kitambi kipo na kigumu kutoka ndio maana wengine wanaenda kufanya surgery ya kukitoa.
Hapo nimekuelewa mkuu, kwa hio wenye vitambi wengine wameshindwa kuviondoa imebidi viendelee kuwepo
 
Sio wanawake wote wanaweza kubana matumbo baada ya kujifungua especially wanaojifungua kwa op. So kitambi kipo na kigumu kutoka ndio maana wengine wanaenda kufanya surgery ya kukitoa.
Matumbo yote yanasababishwa na ulaji wa hovyo especially wanga na sukari. Ukizingatia kula vyakula huwezi pata kitambi.
 
Ulaji wa wabongo ni mbovu Sana. Unakuta asubuhi mtu anapiga chapati 3 na mtori au supu, mchana sahani ya ubwabwq ,nyama choma na soda au juice au maziwq mtindi, usiku tena saa tatu au saa nne ugali au ubwabwa sahani inahemea juu juu. Yaani hapo lazima mafuta yalundikane tumboni.
 
Mwanamke mwenye Kitambi hapanaaaa! Narudia hapanaaaa jamani, ukimkunja kidogo tu pwaaaa puuuu puuu mashuzi kama yote.
Tulinde miili yetu jamani Vitambi SIYO!
 
Ulaji wa wabongo ni mbovu Sana. Unakuta asubuhi mtu anapiga chapati 3 na mtori au supu, mchana sahani ya ubwabwq ,nyama choma na soda au juice au maziwq mtindi, usiku tena saa tatu au saa nne ugali au ubwabwa sahani inahemea juu juu. Yaani hapo lazima mafuta yalundikane tumboni.

uko sahihi chakula ndo shida
 
Ulaji wa wabongo ni mbovu Sana. Unakuta asubuhi mtu anapiga chapati 3 na mtori au supu, mchana sahani ya ubwabwq ,nyama choma na soda au juice au maziwq mtindi, usiku tena saa tatu au saa nne ugali au ubwabwa sahani inahemea juu juu. Yaani hapo lazima mafuta yalundikane tumboni.
Sasa hapo shida nini sii anakula bwana...nyie mnataka tule kama wadhungu....sema tatizo kubwa wengi wetu tunatbelea matako na sio miguu
 
Back
Top Bottom