Wanawake wenye vitambi

Wanawake wenye vitambi

Sasa hapo shida nini sii anakula bwana...nyie mnataka tule kama wadhungu....sema tatizo kubwa wengi wetu tunatbelea matako na sio miguu
Wala kutembelea matako sio shida, hata Watembea kwa miguu na wenyewe full vitambi
 
Sioni kama kuna uhusiano. Maana unaweza kua na tumbo flat leo baada ya miezi 9 ukawa na kitambi cha uzazi. Ina maana tabia zitabadilika
Huonaga wajawazito vitambi vikishatoka wanavyo kuwa na makasiriko halafu wakisha jifunguwa hukaa sawa 😂 😂

 
Chuma hichooo
JamiiForums-1234616416.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom