Huwa tunasalimiana ila kinachokera ni pale mtu anapoanza kukukagua kuanzia kidole cha mguu hadi kichwani, sasa huwa najiuliza hivi wanakagua nini?In principle Wanawake huwa hampend kusalimiana barabaran tofaut na Wanaume
Hawaangalia nyuma! ni pale mnavyosalimiana uso kwa uso!!!Hua wanathamanisha Chura yako na ya kwao. Kama una Lack of Churanization poleee asee..
hahhaha, kweli kabisa, utasikia umependeza, mara naomba nikupige picha huu mshono wako nimeupenda!! hahahahahna kuna wengine hata kama umevaa kawaida anakusifia kupitiliza ,wanawake bana tutafika tu hivyo hivyo
Inakera!Ndio tabia yenu ya asili
Nyie wanawake bana shida sana..Hawaangalia nyuma! ni pale mnavyosalimiana uso kwa uso!!!
Tuombeeni, wamama ambao wanaelekea kuwa wazee wamestaafu utumishi wa umma nao wana hii tabia!!!!Nyie wanawake bana shida sana..
Hapo wanakua wanaangalia umevaaje ili apate umbea wa kwenda kukuteta
🙄
hahahahahahahhahhhahha, amayabhu tehe teheWanaangalia kuthaminisha vyuma vya nani vitakuwa vimekaza zaidi kupitia mwonekano wako[emoji3]
ahahahahahh, na akiwa hajapendeza bila shaka unamwambia tu kwa nia njema. hahahahaIpo jamaani hata mie ninayo ila ni maalum kwa mashoga zangu au hata ndugu zangu wa karibu. Ila mie siangalii kwa ubaya jamaani. [emoji85]
Huwa namuangalia kama alivyovaa ni kachumbari basi nimwambie mmh "Mwenzangu hii gauni ungetupia na mtandio au kiatu cha aina hii ungependeza zaidi ya hapo". Hivyo tu.
Na kama kapendeza basi nitamwagia mijisifa hapo. Acha tu.