Wanawake wenzangu kwa hili mnanichefua sana roho yangu

ahahahahahh, na akiwa hajapendeza bila shaka unamwambia tu kwa nia njema. hahahaha
Ndio huwa lengo langu hilo Dada na bila kusahau kama kapendeza pia.

Na huu uzi wako umenikumbusha Weekend iliyopita kuna Dada yangu alikuja nyumbani na nikamuweka sawa tena kwa kauli nzuri tu na mwenyewe akaona alivyovaa kile kiatu cha ile rangi kimeharibu ubora wa gauni yake.
 
Ubarikiwe Hajati
 
Kweli huna kazi za kufanya unawaza kusalimiana asubuhi
 
Women are very complicated.

Usiwachukulie negatively. Maybe wamevutiwa na kitu kwako. Labda nywele, nguo ama kiatu.

Na anarudia mara mbili tatu ili aweke memory sawa akifika kwa fundi either wa nywele ama wa nguo atiririke.
 
Akishakukagua anajipa matumaini kwamba yeye ni mzuri kuliko weww.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wasichana bhana .
 
Women are very complicated.

Usiwachukulie negatively. Maybe wamevutiwa na kitu kwako. Labda nywele, nguo ama kiatu.

Na anarudia mara mbili tatu ili aweke memory sawa akifika kwa fundi either wa nywele ama wa nguo atiririke.
Labda!
 
Ukiona unakaguliwa sana jua uko vizuri!kama mbaya hawezi kukukagua akishaona lisura lako baya tu hakagui vingine
 
Sasa nahuja kama ww ulvyo haupend kumuangalia mtu hvyo, yeye ndio ameamua hvyo
Nazan umesahau kama life is choice na hakuna kupangiana
 
Sasa nahuja kama ww ulvyo haupend kumuangalia mtu hvyo, yeye ndio ameamua hvyo
Nazan umesahau kama life is choice na hakuna kupangiana
 
Hahahha!! Wanawake huwa nyoko sana(samahanini lakini)

Kuna harusi moja ya kishua niliwahi kuudhuria hapa mjini sasa sehemu niliyokuwa nimekaa mimi, meza ya pembeni yangu walikuwa wamekaa wadada flani hivi watatu kimuonekano wamekaa kimjini mjini, walikuwa wamevaa mavazi yalioacha shemu kubwa ya mwili hasa mgongo na mabega wazi. kwa makadirio ya umri wao wale ni kati ya miaka 27-33 hapo.

Wakati sherehe inaendelea kuna maneno waliokuwa wakiongea kuhusiana na bibi harusi yalivuta usikivu wangu na yalinishangaza kweli, nakumbuka kuna mmoja alisema "ila wanaume nao ni waajabu kweli, yaani kati ya wanawake wote yule ndio ameona amuoe, kwanza hata hawaendani hebu ona jamani" mwingine akadakia "na hapo amepigwa make up bila make up sijui huwa ana mtazamaje".

Sasa kuna huyu mwingine ndio aliniacha na maswali, alichokisema " jamani kumbe hata mimi na kashepu kangu haka nnaweza kupata mwanaume wa maana tu ngoja niendelee kusibiri kwa maana huyo bibi harusi sioni anacho nizidi". Aisee nilishangaaa sana.

Nilivyoiona hii topic nikakumbuka hilo tukio, nyie wanawake huwa mkiona mtu una mzidi uzuri halafu ana kitu Fulani hivi ambcho wewe huna na unatamni kuwa nacho, huwa mnachukia sana. Yaani unaona kama vile mtu ambae una mzidi uzuri basi unastahili kumzidi na vingine vyote vilivyobaki na hii inasababisha hata kumnyima salamu mtu huyo unaemchukia bila sababu ya msingi na akikupa salamu basi ndio hivyo unaitikia kwa pooozi kama umelazimishwa.

Wanawake mna taaaabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…