Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ndio huwa lengo langu hilo Dada na bila kusahau kama kapendeza pia.ahahahahahh, na akiwa hajapendeza bila shaka unamwambia tu kwa nia njema. hahahaha
Na huu uzi wako umenikumbusha Weekend iliyopita kuna Dada yangu alikuja nyumbani na nikamuweka sawa tena kwa kauli nzuri tu na mwenyewe akaona alivyovaa kile kiatu cha ile rangi kimeharibu ubora wa gauni yake.