Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
na kuna wengine hata kama umevaa kawaida anakusifia kupitiliza ,wanawake bana tutafika tu hivyo hivyo
Sasa ili siku nyingine wakome uwe unabadilisha staili hapo hapo. Ukikupandisha akishuka akutane na kwato mguuni na akirudia tena akute una kucha kama paka au mbwa mguuniHuwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.
Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi inaniudhi sana.
Inanishangaza sana, mwanamke mwenzangu tunakutana njiani (tukiwa tunatembea kwa miguu) wakati wa kusalimiana LAZIMA AKUANGALIE KUANZIA KWENYE UNYAYO HADI KICHWANI. Tena bila aibu anaweza kurudia hata mara mbili au zaidi anakushusha anakupandisha! Hivi wanawake wenzangu tunakaguana nini? Huwezi kusalimia mtu bila kumchambua kuanzia chini hadi juu?
Tubadilike wanawake!!!
acha tu wanawake tuna mambo mengi sana mengine ya upuuzi tuWanaangalia nani anaweza kuleta upinzani. Ukiwa kawaida wanajua hauna madhara. Ukipendeza sana au ukawa na vitu tofauti, utapata maadui hata usiowafahamu.
acha tu wanawake tuna mambo mengi sana mengine ya upuuzi tu
looooh! hahahahaahah. Yaani hahahhahhah hahhaaMe inanikera shosti kaja kwako kulala wakati unavaa anaanza kushangaa papuchi yako eti ooh hyo papuchi ni yako? Hee unaipaka nini?
Kwani wewe yako ipoje mbona huoneshi?
hahahahahahahahaahahahhSasa ili siku nyingine wakome uwe unabadilisha staili hapo hapo. Ukikupandisha akishuka akutane na kwato mguuni na akirudia tena akute una kucha kama paka au mbwa mguuni
Shost mie naona kama ni tabia imekithiri miongoni mwetu, najiuliza hivi ananichunguza nini?Hakukagui kwa ubaya madame mwingine amevutiwa na wewe jinsi ulivyovaa
Kweli kabisaacha tu wanawake tuna mambo mengi sana mengine ya upuuzi tu
Hata wewe pia huna kazi ya kufanya,umefungua huu uzi kisha uka comment pia!Kweli huna kazi za kufanya unawaza kusalimiana asubuhi
Viweke hapa mkuu ili na wengine tuvijue.Hapana, hata sie wanaume tuna vitu vyetu vya kijingakijinga vingi tu.
Wanawake roho zenu ni za wivu,mbaya na kudharauliana wenyewe.Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.
Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi inaniudhi sana.
Inanishangaza sana, mwanamke mwenzangu tunakutana njiani (tukiwa tunatembea kwa miguu) wakati wa kusalimiana LAZIMA AKUANGALIE KUANZIA KWENYE UNYAYO HADI KICHWANI. Tena bila aibu anaweza kurudia hata mara mbili au zaidi anakushusha anakupandisha! Hivi wanawake wenzangu tunakaguana nini? Huwezi kusalimia mtu bila kumchambua kuanzia chini hadi juu?
Tubadilike wanawake!!!
mhWadada bhana mambo
Yenu n ya ajabu kuliko dunia
ahsante kwa ushauri mzuriWanawake roho zenu ni za wivu,mbaya na kudharauliana wenyewe.
Jirekebisheni basi.