Wanawake wenzangu kwa hili mnanichefua sana roho yangu

Me inanikera shosti kaja kwako kulala wakati unavaa anaanza kushangaa papuchi yako eti ooh hyo papuchi ni yako? Hee unaipaka nini?
Kwani wewe yako ipoje mbona huoneshi?
 
Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.

Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi inaniudhi sana.
Inanishangaza sana, mwanamke mwenzangu tunakutana njiani (tukiwa tunatembea kwa miguu) wakati wa kusalimiana LAZIMA AKUANGALIE KUANZIA KWENYE UNYAYO HADI KICHWANI. Tena bila aibu anaweza kurudia hata mara mbili au zaidi anakushusha anakupandisha! Hivi wanawake wenzangu tunakaguana nini? Huwezi kusalimia mtu bila kumchambua kuanzia chini hadi juu?

Tubadilike wanawake!!!
Sasa ili siku nyingine wakome uwe unabadilisha staili hapo hapo. Ukikupandisha akishuka akutane na kwato mguuni na akirudia tena akute una kucha kama paka au mbwa mguuni
 
looooh! hahahahaahah. Yaani hahahhahhah hahhaa
 
Sasa ili siku nyingine wakome uwe unabadilisha staili hapo hapo. Ukikupandisha akishuka akutane na kwato mguuni na akirudia tena akute una kucha kama paka au mbwa mguuni
hahahahahahahahaahahahh
 
Hakukagui kwa ubaya madame mwingine amevutiwa na wewe jinsi ulivyovaa
Shost mie naona kama ni tabia imekithiri miongoni mwetu, najiuliza hivi ananichunguza nini?
 
Chambua kama karanga kweli.... [emoji23] [emoji23] [emoji1] diamondi mshenziiiii
 
Kwanini umehisi au umewaza kua hua wanaangalia toka chini mpaka juu kwa lengo la ubaya? pengine anataka kuangalia aina ya viatu ulivyo vaa na akivipenda nae akanunue kama vyako, au anaweza kupenda gauni lako kisha akakuuliza umelinunulia wapi? ili nae akanunue gauni kama lako,don't take things in a negative way.
 
Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.

Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi inaniudhi sana.
Inanishangaza sana, mwanamke mwenzangu tunakutana njiani (tukiwa tunatembea kwa miguu) wakati wa kusalimiana LAZIMA AKUANGALIE KUANZIA KWENYE UNYAYO HADI KICHWANI. Tena bila aibu anaweza kurudia hata mara mbili au zaidi anakushusha anakupandisha! Hivi wanawake wenzangu tunakaguana nini? Huwezi kusalimia mtu bila kumchambua kuanzia chini hadi juu?

Tubadilike wanawake!!!
Wanawake roho zenu ni za wivu,mbaya na kudharauliana wenyewe.
Jirekebisheni basi.
 
Back
Top Bottom