Wanawake wenzangu kwa hili mnanichefua sana roho yangu

Wanawake wenzangu kwa hili mnanichefua sana roho yangu

Kwanini umehisi au umewaza kua hua wanaangalia toka chini mpaka juu kwa lengo la ubaya? pengine anataka kuangalia aina ya viatu ulivyo vaa na akivipenda nae akanunue kama vyako, au anaweza kupenda gauni lako kisha akakuuliza umelinunulia wapi? ili nae akanunue gauni kama lako,don't take things in a negative way.
Labda!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Anakuangalia ili siku nyingine akikuona akukumbuke, mwingine anakuwa amevutiwa na mavazi yako hivyo anayaangalia vizuri, mbona haina mbaya.
 
Ipo jamaani hata mie ninayo ila ni maalum kwa mashoga zangu au hata ndugu zangu wa karibu. Ila mie siangalii kwa ubaya jamaani. [emoji85]

Huwa namuangalia kama alivyovaa ni kachumbari basi nimwambie mmh "Mwenzangu hii gauni ungetupia na mtandio au kiatu cha aina hii ungependeza zaidi ya hapo". Hivyo tu.

Na kama kapendeza basi nitamwagia mijisifa hapo. Acha tu.
Hahahaa. Kwa upande wangu ina ukweli mdogo wangu.
Ahsante Dada yangu kwa ufafanuzi mzuri
 
Me inanikera shosti kaja kwako kulala wakati unavaa anaanza kushangaa papuchi yako eti ooh hyo papuchi ni yako? Hee unaipaka nini?
Kwani wewe yako ipoje mbona huoneshi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Anakuangalia ili siku nyingine akikuona akukumbuke, mwingine anakuwa amevutiwa na mavazi yako hivyo anayaangalia vizuri, mbona haina mbaya.
🙄😳😱😵😉
 
Msipoangaliwa mnaoga maji ya chumvi
Mkiangaliwa mnalalamika

Wengine mnavaa kituko inabidi urudie kuangalia ujiulize huyu veeepe
 
Huwa ninakereka sana na hili suala, pia linanipa shida kujua hasa lengo la wanawake walio wengi kushupalia kufanya hivi.

Wanawake walio wengi wakubwa kwa wadogo, wanatabia ambayo mimi binafsi inaniudhi sana.
Inanishangaza sana, mwanamke mwenzangu tunakutana njiani (tukiwa tunatembea kwa miguu) wakati wa kusalimiana LAZIMA AKUANGALIE KUANZIA KWENYE UNYAYO HADI KICHWANI. Tena bila aibu anaweza kurudia hata mara mbili au zaidi anakushusha anakupandisha! Hivi wanawake wenzangu tunakaguana nini? Huwezi kusalimia mtu bila kumchambua kuanzia chini hadi juu?

Tubadilike wanawake!!!
Macho yao hayana mionzi mikali ya kuona kilichopo ndani kama wanaume.. So kila wakipeleka macho Juu chini hawakioni wanaishia kuona nguo tu...
 
Back
Top Bottom