Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia maana tulikuwa na matarajio ya kuoana baada ya muda mfupi maana kila mtu alivutiwa na mwenzako ili tuweze kuanzisha familia.

Tulienda hoteli moja nzuuri kimandhari ili niweze kuonyesha content yangu kama mwanamke
tulipoanza kufanya mapenzi kwanza niliona kitu kinazidi kuwa kikubwa baada ya kukitoa nilihisi moyo unanienda mbio baada ya kuona ni mguu wa mtoto na sijawahi kukutana nao kiukweli nilimwambia naumwa kila akijaribu nilihisi kuchanika akashindwa hata kumaliza haja zake maana ilikuwa kama anataka kunibaka na hamu zoote za kumpenda presentable yule ziliniishia nikamchukia ghafla

Toka siku hiyo nilianza kumpotezea japokuwa aliendelea kunifatilia na kuniahidi kunifundisha namna ya kuyahandle maumbile yake makubwa lakini sikuhitaji kuonana naye tena cha ajabu juzi naambiwa kaoa nilijiuliza huyo aliyemuoa amemuwezaje mi mbona kuiona tuu bastola yake ilivyokubwa nilihisi kuzimia.

Mimi binafsi niseme tuu ukweli nawashangaa wanawake wanaosema wanaume vibamia mi ndo huwa nawapenda na nainjoy au iwe saizi ya kati hivi kidogo lakini ikiwa kubwa kwanza tutakavyopigana humo ndani mpk utahisi hatukuwasiliana maana huwa naumia au nachanika kiasi kwamba nikienda kukojoa au kunawa nakuwa kama nimepaka pilipili.

Naombeni msaada mana elimu haina mwisho nijifunze namna ya kummudu mtu mwenye mzigo mkubwa
[emoji121]
WAKUU,

WALE WAZEE WA OPPORTUNITIES MSICHEZE MBALI NA HII FURSA,

ADVERTISEMENT MSHAIONA WENYEWE HAPO!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Baada ya hapo hilo shimo atakalolichimba nani atakuja kulitumia tena, pili itabidi ukienda guest saizi na mtu mpya unabeba na kijidumu cha mawese kabisaa ,.............
[emoji121]
WAKUU,

NILISHAWAAMBIA,

THE ENTREPRENEUR IS AT WORK.

[emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Inastajabisha kiukwel,ikiwa kubwa shida na Ndogo shida pia
 
hahaaha mkuu mi mchaga kweli





Yap ww ni mchaga kweli, ila sio kama wale wachaga wanaopenda hela kuliko mapenzi ya kweli kama unavyoonyeshaga humu jf kwamba ww hela kwanza then love....


Huaga unatoaga ushauri mzuri mpaka nawaza huyu kweli mpenda hela kweli au anatuektia.....live long mkuu
 
Yap ww ni mchaga kweli, ila sio kama wale wachaga wanaopenda hela kuliko mapenzi ya kweli kama unavyoonyeshaga humu jf kwamba ww hela kwanza then love....


Huaga unatoaga ushauri mzuri mpaka nawaza huyu kweli mpenda hela kweli au anatuektia.....live long mkuu
Asante mkuu nawe pia live long maisha mazuri
 
Yaani mumy nimeshindwa hata kutengeneza picha ya huo mguu wa mtoto.
wp_ss_20170329_0001.png
wp_ss_20170329_0001.png
 
Aya sasa mnaopenda migobole...... Gobole hlo hapo..... Hyo show hadi ya kuloa mbu.pu sijui itakuacha na ajali au kisima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mtindo huu niacheni nife na vibamia[emoji39]
 
Kila kitu kina mahali pake pa kufit miguu ya watto kwake ni kwenye mizigo mikubwa misambwanda ndo inafika wenye miguu ya wtto tunajijua wapi panatufaa sio kwenda kutesa watto wa watu kuwatindua vizazi
 
kama tangu uanze mambo ya kikubwa hujawahi kukutana na miguu ya watoto lazima uchanganyikiwe...
ila ukishakutana nayo miwili mi3 unaona kawaida.
uke ni kama puto tu ukitaka litanuke linatanuka
ila nini kinatanua hasa...

"Feeling"
lazima u feel the beat...
halafu umpende unaemfeel
mnaenda taratibu utazoea tu [emoji23][emoji23]

mimi kama sina feeling hata kibamia hakipiti
 
Back
Top Bottom