Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Sasa wapenzi wawili wa kazi gani tena kijana mwenzangu. Hebu waoneeni huruma jamani.Mimi nilishakuwa na wapenzi kama wawili hivi mwanzoni walikuwa wakilalamika eti napeleka mpaka mwisho wanaumia lakini tukizoea kule kulalamika kunaisha na nazimisha zaidi ya pale kulalamika hamna.