Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Siku ya kwanza huwa Hatuingizi yote! Huyo jamaa sio mtaalam....pole sana.
 
Kuna dudu nyingine sio kabisa na bora dada ulijiokoa mwenyewe. Kuna watu wanafananisha uzazi na dushe wakati ni vitu viwili tofauti, hata kama mtoto anapita sio kwamba na dudu itapita. Mwanamke akishazaa k inarudi kwenye hali yake ya kawaida kwani wakati wa uchungu kuna kemikali kibao ndani ya mwili ambazo zinasaidia k kutanuka vile.
 
Shost ungestahmili mwanzo tu na inaonyesha alishindwa kukuandaa lkn haiumizi wala nn, mm ndo maradh yng ayo yn muhogo wa ukweli then umkute jamaa anaepiga shoo za kibabe, utaenjoy mpk usahau njia ya kwenu
show za kibabe ndio zikoje...
 
Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia maana tulikuwa na matarajio ya kuoana baada ya muda mfupi maana kila mtu alivutiwa na mwenzako ili tuweze kuanzisha familia.

Tulienda hoteli moja nzuuri kimandhari ili niweze kuonyesha content yangu kama mwanamke
tulipoanza kufanya mapenzi kwanza niliona kitu kinazidi kuwa kikubwa baada ya kukitoa nilihisi moyo unanienda mbio baada ya kuona ni mguu wa mtoto na sijawahi kukutana nao kiukweli nilimwambia naumwa kila akijaribu nilihisi kuchanika akashindwa hata kumaliza haja zake maana ilikuwa kama anataka kunibaka na hamu zoote za kumpenda presentable yule ziliniishia nikamchukia ghafla

Toka siku hiyo nilianza kumpotezea japokuwa aliendelea kunifatilia na kuniahidi kunifundisha namna ya kuyahandle maumbile yake makubwa lakini sikuhitaji kuonana naye tena cha ajabu juzi naambiwa kaoa nilijiuliza huyo aliyemuoa amemuwezaje mi mbona kuiona tuu bastola yake ilivyokubwa nilihisi kuzimia.

Mimi binafsi niseme tuu ukweli nawashangaa wanawake wanaosema wanaume vibamia mi ndo huwa nawapenda na nainjoy au iwe saizi ya kati hivi kidogo lakini ikiwa kubwa kwanza tutakavyopigana humo ndani mpk utahisi hatukuwasiliana maana huwa naumia au nachanika kiasi kwamba nikienda kukojoa au kunawa nakuwa kama nimepaka pilipili.

Naombeni msaada mana elimu haina mwisho nijifunze namna ya kummudu mtu mwenye mzigo mkubwa
njoo kwangu mm nina kibamia
 
Back
Top Bottom