Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Kawaida uke ni kama mfereji ambao unakuwa na grands mbali mbali kawaida yake hutanuka ili kuuhimili ukubwa wa uume wa size yoyote, na kutafuta kwake huwa sio kwa ghafla ni process ambayo huanza pale mwanamke anaposisimuliwa pale anapotomaswa sehemu zake muhimu za mwili zinazomzisimua. Kuumia kwa mwanamke hutokana na kutokuandaliwa vzr au uume ukiwa mrefu sana unagusa kizazi...

USIMDANGANYE MWENZAKO, HAYA MANENO YAKO SIYAKUBALIA {hutanuka ili kuuhimili ukubwa wa uume wa size yoyote}
 
Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia maana tulikuwa na matarajio ya kuoana baada ya muda mfupi maana kila mtu alivutiwa na mwenzako ili tuweze kuanzisha familia.

Tulienda hoteli moja nzuuri kimandhari ili niweze kuonyesha content yangu kama mwanamke
tulipoanza kufanya mapenzi kwanza niliona kitu kinazidi kuwa kikubwa baada ya kukitoa nilihisi moyo unanienda mbio baada ya kuona ni mguu wa mtoto na sijawahi kukutana nao kiukweli nilimwambia naumwa kila akijaribu nilihisi kuchanika akashindwa hata kumaliza haja zake maana ilikuwa kama anataka kunibaka na hamu zoote za kumpenda presentable yule ziliniishia nikamchukia ghafla

Toka siku hiyo nilianza kumpotezea japokuwa aliendelea kunifatilia na kuniahidi kunifundisha namna ya kuyahandle maumbile yake makubwa lakini sikuhitaji kuonana naye tena cha ajabu juzi naambiwa kaoa nilijiuliza huyo aliyemuoa amemuwezaje mi mbona kuiona tuu bastola yake ilivyokubwa nilihisi kuzimia.

Mimi binafsi niseme tuu ukweli nawashangaa wanawake wanaosema wanaume vibamia mi ndo huwa nawapenda na nainjoy au iwe saizi ya kati hivi kidogo lakini ikiwa kubwa kwanza tutakavyopigana humo ndani mpk utahisi hatukuwasiliana maana huwa naumia au nachanika kiasi kwamba nikienda kukojoa au kunawa nakuwa kama nimepaka pilipili.

Naombeni msaada mana elimu haina mwisho nijifunze namna ya kummudu mtu mwenye mzigo mkubwa
Alifanya haraka huyo, au inawezekana ulikaa muda mrefu sana nachangia, hali ya mwanamke kuhisi amechanika ipo, mm nilipata tabu sana na mpenzi wangu mpaka nikawa nikiwa nataka game ya ukweli inabidi nichepuke. Na yeye ilikua nikimgusia tu nataka mambo basi anakosa raha kabisa. Lakin nilijaribu kumzoesha kidokidogo mpaka akazoea, sasa alivyozoea mm ndo nilikua naomba poo. Ukipitisha siku mbili hujampa kazi ananuna, kwahiyo dada ungevumilia kwakua ulimpenda hiyo ingefit tu baada ya muda uzuri wake mwenyewe alikua anajitambua kwahiyo kidogo kidogo si lazma sex uinjoy siku ya kwanza wanaojua hua na subra
 
Kawaida uke ni kama mfereji ambao unakuwa na grands mbali mbali kawaida yake hutanuka ili kuuhimili ukubwa wa uume wa size yoyote, na kutafuta kwake huwa sio kwa ghafla ni process ambayo huanza pale mwanamke anaposisimuliwa pale anapotomaswa sehemu zake muhimu za mwili zinazomzisimua. Kuumia kwa mwanamke hutokana na kutokuandaliwa vzr au uume ukiwa mrefu sana unagusa kizazi...
Umeongea vizuri mkuu, lakini uliposema inaweza kuhimili ukubwa wa uume wowote. Kuna watu ni abnormal.
 
Ukubwa wa maumbile unategemea ba mtazamo wa mtu yaweza kuwa ana maumbile ya kawaida tu ila kwako unayaona makubwa.

Ebu tuambie ukubwa wake kama mguu wa Mtoto kivipi... Maana hata watoto wanatofautiana
 
Hao wenye maumbile makubwa sana nao ni shida aisee! Kuna mmoja tulikua nae kama miezi kadhaa bila kufanya matusi!!! Niliogopa tu inavyotuna kwenye suruali kabla hata sijaiona live na kusingizia tusubiri ndoa [emoji3][emoji3][emoji3]... Siku nilioamua kumpa alitumia hadi mafuta lakini nilipata maumivu wiki nzima na baada ya hapo nikamwambia siwezi endelea kua nae!!! Yaani maumivu ya kubikiriwa cha mtoto!!!
 
Baada ya hapo hilo shimo atakalolichimba nani atakuja kulitumia tena, pili itabidi ukienda guest saizi na mtu mpya unabeba na kijidumu cha mawese kabisaa ,.............
Unaona eenhe!!! Atanue tobo alafu baada ya hapo wanaofuata waone bwawa!!! Hapana kwa kweli!!! Bora aoe ili amtanue mkewe
 
Kwi kwi kwi ukaona ni heri tu uipushe papuchi yako na dhoruba kali. Pole sana.

Back
Top Bottom