Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

mfichuamambo

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
107
Reaction score
313
Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia

Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu

Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99

Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee kila kitu lazima adanganye hadi wazazi wake alinidanganya

Najuta kuzaa na hili jianaume looh ningejua kipindi kile cha mimba ningetoa tu ila huyu mwacheni siku yake itafika tu
 
mimi nikisikia mwanaume amemkomesha mwanamke kama ivi nafurahi sana yaaani, wanawake washenzi sana
Brother sio wote washenz, Ujue kila mtu na Tabia yake, Kwahiyo kuwa na Kiasi na Yapime matamshi yako usiwakosee heshima wanawake wote maana una mama na Dada ambao pengine wana tabia njema

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ndo tulivyo ....mtuvumilie tu ....mfano m nikiongea maneno 10 basi nane ya uongo
 
Back
Top Bottom