Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Kweli kbs yule mbwa hajiaminiUmenasa wewe huna ujanja. ila tabia ya uongo ni ishara ya kukosa kujiamini.
Walaa hana senti wala dollahHaya ndo madhara ya mwanamke kumpenda mwanaume kwa kigezo cha pesa
Mimi nina mapenzi ila sionekane mpaka nihitajike.Mnajiangaisha hata kulalama,kuna mapenz sikuhizi kwan
Eeh wakati anakula kuku wa KFC kwenye crown Athlete ya kuazimwa alikuwa anajiona yeye ndio yeye sasa siri imefichuka sahizi analia lia ๐ alee mtoto tu aache kelele!Watu mnajua kujibu asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Utadanganya huku una mtoto wa kulea pekeako ๐๐๐unaenda nae sawa tu
akidanganya A unadanganya B
Uongo hauchagui mke na mume wanadanganyana ndani itakuwa mahawara!Utadanganya huku una mtoto wa kulea pekeako ๐๐๐
Anacholia lia huyo ni kuachwa na mzigo wa kulea mtoto wakati alitegemea kitonga๐uongo hauchagui mke na mume wanadanganyana ndani itakuwa mahawara!
Kulea mtoto uliyezaa na mtu unaita kitonga?Anacholia lia huyo ni kuachwa na mzigo wa kulea mtoto wakati alitegemea kitonga๐
Si mpaka huyo aliyekuzalisha awe na akili za kulea๐ wanawake ndio mko liable by 100%kulea mtoto uliyezaa na mtu unaita kitonga?
Si mpaka huyo aliyekuzalisha awe na akili za kulea[emoji23] wanawake ndio mko liable by 100%
Na wewe umekazia kabisaLiongo liongo yaaan[emoji16][emoji16]
Pole shost
Pole sana[emoji706]
Pole ya nini?Pole sana