secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Ala kumbe mada inawahusu kina mama ngoja sie kinababa tupite vileJamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia
Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu
Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99
Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee kila kitu lazima adanganye hadi wazazi wake alinidanganya
Najuta kuzaa na hili jianaume looh ningejua kipindi kile cha mimba ningetoa tu ila huyu mwacheni siku yake itafika tu
Mbwa anakupenyezea kitu chenye ncha kaliKweli kbs yule mbwa hajiamini
Pole Sana...Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia
Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu
Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99
Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee kila kitu lazima adanganye hadi wazazi wake alinidanganya
Najuta kuzaa na hili jianaume looh ningejua kipindi kile cha mimba ningetoa tu ila huyu mwacheni siku yake itafika tu
Na sisi tukiwachoma moto msiache kushangilia piamimi nikisikia mwanaume amemkomesha mwanamke kama ivi nafurahi sana yaaani, wanawake washenzi sana
Mxieeww[emoji23][emoji23]Ajabu atakuzalisha na wa pili huku ukilalamika
Mama yako alikufanya nini?mimi nikisikia mwanaume amemkomesha mwanamke kama ivi nafurahi sana yaaani, wanawake washenzi sana
Wanaume ni watu wa ajabu sana mtu anakuwa muongo hadi kuficha wazazi hii ni hatari sana.Wanawake mnapitia mambo mazito, magumu na ya ajabu.
Mtu anakuficha wazazi wake? Muongo na mnaishi pamoja?
Mbona hii ngumu sanaa
Uongo huvunjisha mahusiano!!