Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

Tatizo lako na wewe mlalamishi sana na mjuaji ndo maana jamaa kajiongeza anakudanganya mpaka Umri wako....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angekwambia wazazi wake ni choka mbaya, na ni ombaomba ungemkubalije?
 
Pole kwa kukubali kudanganyika!

Kudandia gari kwa mbele ni hatari kubwa sana!
 
Si mpaka huyo aliyekuzalisha awe na akili za kulea[emoji23] wanawake ndio mko liable by 100%
Tena awe na huhakika Kama kweli hiyo ni damu yake!! Ndiyo anaweza fikiriwa japo kidogo!! Tatizo la baadhi ya Wanawake wanapenda kutega Wanaume kwa kushika Mimba, ndiyo maana mwisho wa siku wanajikuta wameaachwa solembaa!!
 
Uongo na kutokukujali ni matokeo ya hisia zako kwake. Changamoto ya sasa kwa mabinti ni kupenda mambo makubwa ambayo wao binafsi hawawezi kuyamudu na wenza wao pia hawawezi kuyamudu.

Sasa unapo mlazimisha mtu akupatie mahitaji ambayo hayapo kwenye uwezo wake kama kigezo cha wewe kuwa nae na kwamba akishindwa kukupatia basi mahusiano yatavunjia , why sasa huyu mtu asikupige fix!
 
Kaa uwaze angesema ukweli ungetoa? Unapenda mtelezo lazima udanganywe tu.

Mnabanaaa utadhani mmenunua kumbe ukikuta tu kipo,gharama kuosha na maji tiririka( a.k.a maji ya mfereji)
 
Pole sana
 
Na Bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…