mseminari mdogo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 228
- 146
Ever tried?All are the same.
[emoji23][emoji23][emoji23]naona unajipa mahopeMimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
nimesahau jina lake nikimuona ndo namkumbukaYupi huyo?
Halafu wewe kwanini hujanizimikia?taja mtu
unataka kuzimikiwa?Halafu wewe kwanini hujanizimikia?
Wewe....Mie ninaemzimikia anajijua
Yaaah usicheleweunataka kuzimikiwa?
msaga sumu na warumi ni ndugu? wambea balaa
Hebu ngoja nifikirie.atoto joanah Sweetiepie venossah irk Dinazarde miss_blossom LadyAJ Hivi nyote nyie hakuna anaenizimikia kweliiii???
Acha kiherehere,STUNTER tayari ana mtu wake,njoo kwangu please![emoji30] [emoji30] [emoji30]Dah The Boss wa kwanza.
Lakin kwa kua kanambia nafasi imejaa bora nihamie kwako@STUNTER
Msaga sumu ana up to date zote za Le Baharia, ninaona hiki ndiyo kitengo alichochagua ku specialise.msaga sumu na warumi ni ndugu? wambea balaa
Madam unampenda nani? Taja please!All are the same.
Yeah najijua asante sana Valentina wangu!!!Mie ninaemzimikia anajijua
Msaga sumu ana kibamia lakini!