Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ajitokeze utamwonaMtaje tumjue
nimesahau jina lake nikimuona ndo namkumbuka
Bila kusahau The Boss.... JF never boring!Kaka Kaizer na mtambuzi
Mie....Wewe....
Ngoja niandae barua,mana kwako pia naweza kuta pamejaaAcha kiherehere,STUNTER tayari ana mtu wake,njoo kwangu please![emoji30] [emoji30] [emoji30]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yeah najijua asante sana Valentina wangu!!!
Sasa si useme tu unanizimikiaMie....
Si ndio wewe nilikua nakusubiriaSasa si useme tu unanizimikia
Nilijua tu, em kuja hapaSi ndio wewe nilikua nakusubiria
Hata mm nimemuonaSi ndio wewe nilikua nakusubiria
Mkeo kasafiri?Nilijua tu, em kuja hapa
Ha haa una macho makaliHata mm nimemuona
Michepuko yake haimzuii kuendelea na maisha asije pata magonjwa ya stress bureWw mwanamke?
Si ulisema mumeo ana michepuko km 50 na pia umeomba ushauri.
Kulikoni tena au ndo kujiliwaza huku?
Ila angalia wakati mwingine unaweza kuwa ww ni sbb
Kwani nimesema ufanye majukumu ya mke wangu?Mkeo kasafiri?
Hongera naona una account 2 nimeshangaa. Niliyemuuliza ni tofauti na aliyenijibu.Michepuko yake hainizuii kuendelea na maisha nisije pata magonjwa ya stress bure
Ha ha ha ha ha ha ha!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwani nimesema nataka kufanya majukumu yamkeo?Kwani nimesema ufanye majukumu ya mke wangu?