Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Ww mwanamke?
Si ulisema mumeo ana michepuko km 50 na pia umeomba ushauri.
Kulikoni tena au ndo kujiliwaza huku?
Ila angalia wakati mwingine unaweza kuwa ww ni sbb
Michepuko yake haimzuii kuendelea na maisha asije pata magonjwa ya stress bure
 
Back
Top Bottom