Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Ukiandika mambo ya maana hakuna wa kukushobokea hasa wane uliwahi kuona MTU anamtaja
1. Pasco
2. Ben saanane
3. Lizabon
4. Britanicca
5. Faiza foxy
6. Nyani ngabu

Wanaotajwa ni hao hao hata ukiangalia wamekaa kaa kwenye MM
wee faiza foxy kumbe ni mwanaume?
astaghfiruulah! halafu almost uliowataja hapo ni wadau wa siasani kule.
wangekua wa humu nao wangetajwa tu.
 
Interesting, hamjanitaja bado [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mm navutiwa na English ya watu watatu sina haja ya kuwataja mnajijua, sitoweza kuwataja kwa majina coz hapa jf msongamano mwingi.

kuna mwingine rafiki yangu unachangia vizuri nskukubari sana bila shska unajijua.

mwisho kuna watu waki comment natamani niwaone hata body lao ila ndo hivyo ustaarabu unatumika ,

bila kukusahau wewe uliyeko nje na siwezi kukutaja ila ukipita hapa jua ni wewe.
 
Ukiandika mambo ya maana hakuna wa kukushobokea hasa wanawake we uliwahi kuona MTU anamtaja
1. Pasco
2. Ben saanane
3. Lizabon
4. Britanicca
5. Faiza foxy
6. Nyani ngabu

Wanaotajwa ni hao hao hata ukiangalia wamekaa kaa kwenye MM
Namba sita ni mchanganyiko mkuu,yupo pande zote,dada VALENTINA humwambii kitu hapo.
Kwan hamunioni jamani?
 
Duh!kwel nina gundu,yani wanawake wote hawa wa jf hakuna anaevutiwa na mimi kabisa?

ka picha kako hats kama ni ka uongo kslansonesha ulivyo mtoto that's why weeks pic inayoendana na wewe
 
The Bold,Mseza Mkulu na Pitachoka sema alivobadili avatar ya kikatuni sio sanaaa kama mwanzoni.
 
Kuna mahali ulijiita Ali ikasababisha nikukimbie PM nikose madini yako maana hata babu yangu anayo

Sky eclat wewe ni mdada au mkaka
ha ha ha hii ndio JF bhana mtu ana ID zaidi ya moja na kila ID ina jinsia yake kichekesho kinakuja pale anapojichanganya ku comment ana komenti kikike hali ya kuwa ka log in kwa ID ya kiume
 
Michepuko yake haimzuii kuendelea na maisha asije pata magonjwa ya stress bure
Baada ya kushtukiwa ameediti neno...''Hainizuii kuwa haimzuii''....Hivi mnafikiri huku Jf ni kichaka cha watoto eeh? bravo Mkuu Gregoire's.
Hongera naona una account 2 nimeshangaa. Niliyemuuliza ni tofauti na aliyenijibu.
Kila lakheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…