Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
wee faiza foxy kumbe ni mwanaume?Ukiandika mambo ya maana hakuna wa kukushobokea hasa wane uliwahi kuona MTU anamtaja
1. Pasco
2. Ben saanane
3. Lizabon
4. Britanicca
5. Faiza foxy
6. Nyani ngabu
Wanaotajwa ni hao hao hata ukiangalia wamekaa kaa kwenye MM
astaghfiruulah! halafu almost uliowataja hapo ni wadau wa siasani kule.
wangekua wa humu nao wangetajwa tu.