Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)

792d8f34b318e31f5e965121.jpeg
 
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)View attachment 1069700

muhogo,nazi,karanga,tende,asali

Tafuta hela ndio shape wanayopenda kiumeni....
 
Hao wanawake wanasisimkwa sana na zile nywelee zetu vifuani mwetu.

Sasa mwanaume unanyoa nywelee za kifuani ukikumbatiana na mkeo ngozi zinagandana na joto hili hata aibu huoni mzee baba?

Lazima nywele uziache ache zile zina umuhimu mkubwaaa zina nyeng'elesa(lugha ya kikusini hii)

Bila kusahau ndevu unazipitisha masikioni mgongoni kwa juu juu na sehemu mbali mbali.

Mwanaume nywelee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Swadakta Ostadhi kikofia
 
Tafadhali mkuu, waache waseme wenyewe wanapenda nini. Usiwasemee!

- KANA -
 
Back
Top Bottom