Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)

 

Tafuta hela ndio shape wanayopenda kiumeni....
 
Swadakta Ostadhi kikofia
 
Tafadhali mkuu, waache waseme wenyewe wanapenda nini. Usiwasemee!

- KANA -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…