Okay kumbe bora tutafute pesa na ku maintain uwezo kuwakuna kwenye 6x6
muhogo,nazi,karanga tende,asali
Hapo kwenye uwezo mzuri kiuchumi, umedanganya kapeace
Ndo maana unaambiwa huwez jua mwanamke anataka nn yan unaweza ukawa na kila kitu kasoro hata kitu kimoja tu, bas mwenzio ndo akakuchkukia sabb ya hichoNaona wanawake wameshaaza kutofautiana tayari
Vifua vikavyu hivyo hata vinyweleo vya kuamsha amsha hakuna.
Unapenda kupapasa manyoya laini ya kifuani hadi chini ya kitovu
Umesema nisiwe bonge nyanya jamani uo unyanyapaa [emoji16][emoji16]Shape tutavumiliana ila usiwe bonge nyanya
Mkuu mbona wanawake wenye pesa na uchumi hawaangali hiyo kitu wana angalia handsome mwenye kiuno kama pangaboi tu kumbe wanawake tegemezi ndio wanaongoza kwa mapenzi ya uwongoKwakweli mimi napenda mwanaume mwenye uchumi strong tuu na mwenye akili timamu akiwa na hivyo vigezo nilivyovitaja tayar ni handsome [emoji3059][emoji3059][emoji3059] hata awe mfupi kama piriton
Wanashindwa kuwakuna kimkakati wanaishia kuhema kama wanakimbizwa na nyatiHawana mvuto unashindwa hata kujilazimisha
Wanawake wenye pesa huangalia hivyo vigezo wakati wa kutafuta wanaume wa kuwatumia kibenteni wa kumfikisha kwenye haja zake lkn kwa muda tuu haja zikiisha na mapenzi huisha ndio maana wanaume wanaotegemea majimama asilimia kubwa huwa hawatoki kimaisha ng'o jimama hawezi kukupa pesa ya kukutoa kimaisha jimama hata mkiachana huna haki ya kudai hata sent tano unaondoka kama ulivyokuja hata akifa hupewi hata mia unaondoka na boxer zako tuu wanawake wooooote duniani wanapenda hela huwezi kushindana na kigogo ukamshinda sababu wewe una kifua kipana 😁😁😁 nimeshuhudia wenye vifua kibao wakibebewa wachumba zao na watu wenye hela. hela inaleta mpaka confidence jamani hela ndio heshima kwenye jamii tufanye kazi tupate hela haya mengine ya vifua tuwaachie wana mieleka na watunisha misuli maana wao ni sehemu yao ya kupata pesa mimi matumizi ya kifua siyajui kabisa ila matumizi ya pesa hata watoto wadogo wanayajua 😁😁😁 anajua kabisa bila pesa sipewi pipi dukani hata watoto humpenda yule uncle anayewapa hela sembuse mtu mzima 😁😁😁😁😁 wanawake wooooote wanapenda kuonekana wana wanaume wa maana yani wenye influence kwenye jamii wanaume wa maana wenye uwezo kiuchumi wenye power na confidence bila pesa hizo sifa huwezi kuwa nazo unaonekana debe tupu 🤣 hakuna mwanamke anayependa kuonekana na mwanaume ndezi au aonekane yeye ndio anayeprovide kwenye uhusiano hapanaMkuu mbona wanawake wenye pesa na uchumi hawaangali hiyo kitu wana angalia handsome mwenye kiuno kama pangaboi tu kumbe wanawake tegemezi ndio wanaongoza kwa mapenzi ya uwongo
muhogo,nazi,karanga tende,asali
Yes za kifuaniKwa hiyo wee unapenda nywele
Kwa maana hiyo anko anaweza kupewa papaWanawake wenye pesa huangalia hivyo vigezo wakati wa kutafuta wanaume wa kuwatumia kibenteni wa kumfikisha kwenye haja zake lkn kwa muda tuu haja zikiisha na mapenzi huisha ndio maana wanaume wanaotegemea majimama silimia kubwa huwa hawatoki kimaisha ng'o jimama hata mkiachana huna haki ya kudai hata sent tano unaondoka kama ulivyokuja hata akifa hupewi hata mia unaondoka na boxer zako tuu wanawake wooooote duniani wanapenda hela huwezi kushindana na kigogo ukamshinda sababu wewe una kifua kipana [emoji16][emoji16][emoji16] nimeshuhudia wenye vifua kibao wakibebewa wachumba zao na watu wenye hela hela inaleta mpaka confidence jamani hela ndio heshima kwenye jamii tufanye kazi tupate hela haya mengine ya vifua tuwaachie wana mieleka na watunisha misuli maana wao ni sehemu yao ya kupata pesa mimi matumizi ya kifua siyajui kabisa ila matumizi ya pesa hana watoto wadogo wanayajua [emoji16][emoji16][emoji16] anajua kabisa bila pesa sipewi pipi dukani hata watoto humpenda yule uncle anayewapa hela ya mimi sembuse mtu mzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pesa pesa pesa
Hamna mwanamke asiyependa uhakika wa maisha yake na wanae
Tunatofautiana kuyavumilia mapito magumu kiuchumi
Lakini tangu zamani ilikuwa binti akipata mchumba itaangaliwa familia ya mchumba wake uwezo wake kiuchumi kama idadi ya mifugo, mashamba nk
Utaulizwa mumeo mtarajiwa anafanya shughuli gani
Sijishughulishi kabisa na muonekano wa mwanaume
Mwanaume awe na uchumi mzuri + nguvu za kiume......dunia kwake ni pepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hahahaha nimecheka mnoTafuteni hela na mambo yetu yaleew hata uwe kama kisiki mzee utakula vinono tena kwq adabu zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay kumbe haitakiwi uwe na kitambi saana umeintain tu
Tunamaanisha huwa hatuangalii vitu vingine zaidi ya uchumi hakipo kingine mkuu yani ni pesa , pesa , pesa mpaka mwisho vifua kwa teenagers kabla sijakua na kabla sijaolewa nakumbuka nilikua napenda mwanaume mweusi mrefu mwenye meno meupe na macho meusi lol lkn nilikuja kuolewa tofauti kabisa na vigezo vya muonekano tofauti nikisema nirejee hivyo vigezo vya muonekano nilifeli pamoja na hayo nikakituliza kabisa😁 so nikaelewa kuwa pesa ni kitu kingine mkuu wee acha tuuUmeambiwa utaje vigezo vingine tofauti na pesa, wewe unataja pesa.
Kwa akili ya aina hii, wanaume wenye pesa utaishia kuwasikia tu!
- KANA -
Fanya zoezi bwanaUmesema nisiwe bonge nyanya jamani uo unyanyapaa [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app