Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men.
Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu. Mtuthamini michango yetu basi
View: https://x.com/DudespostingWs/status/1895985402802016730