Wanawake wote pitieni huu uzi habari njema kwenu

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
ikitokea Umempata Mwanaume anataka kukuoa ila hanywi pombe, havuti sigara, anakupa hela, anakufikisha kileleni, hashiki simu yako, anapenda nduguzako, anasikiliza matatizo yako, handsome, hajawahi kukupiga hata Kofi moja, mcha Mungu, asiependa michepuko na mwenye kazi nzuri basi kwa taarifa yako ni kwamba mwanaume mwenye hizo sifa hayupo na hatokuja atokee,labda umuagize kutoka sayari ya Pluto kwasababu hata baba yako mwenyewe hana hizo sifa ingawa anaishi na mama yako

kama umekasirika kalambe ndimu hayaaa mchana mwema
 
Hahahahahaa daaah hatari sana mkuu hayupo mwanaume wa hivyo
 
Nasubiri mapovu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mbona watu wa hivyo wapo ingawa ni adimu ila uadimu wao unategemeana na aina ya watu ambao wamekuzunguka katika maisha yako ya kila siku ...

Ushauri tu ingawa unachangamsha genge..Usijifariji kwa madhaifu yako kwa kudhani hakuna wasio nayo. JIAMINI
 
hizo siyo sifa za malaika,malaika hawana fedha na hawafikishi watu vileleni
 
Wanachaguaga wakiwa na miaka 21
Wakifikisha 25 ni kanyaga twende yoyote ajae wanakubali maana vinginevyo waende kwa mganga fulani afe waolewe wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…