Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
ikitokea Umempata Mwanaume anataka kukuoa ila hanywi pombe, havuti sigara, anakupa hela, anakufikisha kileleni, hashiki simu yako, anapenda nduguzako, anasikiliza matatizo yako, handsome, hajawahi kukupiga hata Kofi moja, mcha Mungu, asiependa michepuko na mwenye kazi nzuri basi kwa taarifa yako ni kwamba mwanaume mwenye hizo sifa hayupo na hatokuja atokee,labda umuagize kutoka sayari ya Pluto kwasababu hata baba yako mwenyewe hana hizo sifa ingawa anaishi na mama yako
kama umekasirika kalambe ndimu hayaaa mchana mwema
kama umekasirika kalambe ndimu hayaaa mchana mwema