Mbona sifa hizo za kawaida tu kwa mtu mwenye kujua maana ya utu na mwenye kuheshimu hisia za mwenzie mfano unapocheat utajisikiaje kama mwenzio ndio angekuwa anakucheat! Vaa uhusika fanya maamuzi sahihi!
Naweza kusema sifa hizo ninaziona ndani yangu ila kuhusu uhandsome mhhhh sina uhakika! Hahahahahaha
Maana sifa zingine tajwa ni utashi wa mtu mwenyewe tu!
Ukiamua inawezekana!