huyo anataka kubatilisha ndoa, kama mtu anataka kuwa independent basi asiolewe ili kukwepa vijimaswali vidogovidogo,hata haki za binadamu zina mipaka heee na ndoa nayo ina maadili yake, mimi nahisi huyo mama kichwani hazimo timamu
yeah inaonekana ni kwa mujibu wa makubaliano yake na mumewe sasa anabadilisha na kusema kwa mujibu wa haki za binadamu
Mkuu tupe namba yake ya simu tuifanyie kazi, please...!Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....
Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume
mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...
Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....
Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...
Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...
Yeye na mumewe wote wanasheria.........
mi nisaidie tu namba yake namimi nijaribu kufaidi haki za binadamu lol