Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
huyo anataka kubatilisha ndoa, kama mtu anataka kuwa independent basi asiolewe ili kukwepa vijimaswali vidogovidogo,hata haki za binadamu zina mipaka heee na ndoa nayo ina maadili yake, mimi nahisi huyo mama kichwani hazimo timamu
Afu ukimchunguza vizuri huyo alokuambia utasikia amemchukua mume wa mtu au anapenda dogodogo (shangingi)