Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za
binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story.....
Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa
hizi harakati za wanawake mwisho zitaleta maumivu mengi kwa wanaume
mfano anasema kwa ujibu wa haki za binadaamu...
Mume hutakiwi hata kugusa simu ya mke.
Kumuuliza nani amempigia mfano umesikia sauti ya kiume inaongea
kwenye simu na mkeo.....na mambo mengi mno.....
Mwisho tukaishia kubadilishana namba za simu..
Akaniambia niko free kumpigia time yeyote...hata usiku wa manane...
Mumewe hawezi kumuuliza wala kupokea simu yake...
Yeye na mumewe wote wanasheria.........
nilishawashauri ndigu jamaa na marafiki zangu wa kike.
kama kweli mtu unataka ndoa, na unataka ndoa yako iwe na heshima
na idumu epuka na hizi movements za usawa za siku hizi.
Kuna movemet nyingi siku hizi, mara pheminism, mara wabeijinj, mara human right, mara gender equity and equality mara 50/50 na nyingine kibao.
Hizi ni theory, na theory ambazo zina miziz nchi za mbali na wala kwetu sisis hazina mashiko.
hazieleweki na watu wengi wala hazijaubalika na watu wengi. sasa kinachotokea ni kua mtu anzisomoma klasss au mikutanoni anaziadopt na kwenda kuzipractise kama zilivyo hom.
hapa unavunja ndoa fast.
kama mwanaume nakubali kua fair kwa mke wangu, lakini huyu mke wangu awe na akili nae anitafsii kama mtu ninae kua fair na si mtu ninae kuabaliana na hizi theory.
Mfano, kama nipo na kmkwe wangu, me naamka aubuh na ye tunaenda job, wote tunarudi mda mmoja tumechoka. Ni ubinadam mimi kumsaidia kufua yeye apike, au kudeki yeye amwogeshe mtoto lakini pia sio ubinadam wala si mapenzi kumwaca akafanya hizi shughuli ote me nikaangalia TV.
ILA, Pia anatakiwa atafsiri hali hii kama upendo na fairness lakii si kua me ni mjinga au amenishika.hapa atavunja ndoa.