Huwa Najiuliza nchi ndogo Kama Nigeria,
1. Boko Haram wanamiliki vipi silaha nzito za kijeshi na kuzionyesha kwny video afu wasijulikane walipo
2. Wanateka vipi mamia ya watu na kuwaficha mafichoni wasijulikane kbs walipo miezi na miaka Hadi wanarudishwa Wana watoto kabisa
Wakati ukiiangalia Nigeria haiifikii hata ukubwa mkoa wa morogoro