Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!
"NINA MAISHA YANGU"- Hapo umeshatanguliza misifa/prestige, huenda wakawa wanakupenda kwa hizo fahari/utajiri/mali ulizonazo.
ANYWAY,kupendwa ni kawaida sana kaka angu, usiamplify ikaonekana kupendwa na wanawake ni kitu kimoja unique,kawaida sana,wala isikubweteshe. Cha msingi chagua mtu ambaye unamfeel,anajua maisha ni nini, unayemuona ana mapenzi ya dhati,UTAMJUA TU KATIKA HAO WOTE ULIOTUTAJIA. wa kukuchuna utawajua tu,hmjakaa muda ,atataka umtoe out,mara umnunulie kitu flani cha gharama,ambazo kama ingekuwa ni kutoa hela yake wala asingethubutu,ila kwakuwa ni ya kwako IT IS ALRIGHT,NAKADHALIKA
PLEASE! DONT PLAY WITH SOMEONE'S FEELINGS,kama mtu haumtaki,usimuentertain,wala kumpotezea muda wake, kuwa tu muwazi kwake,usije ukarogwa bure au kuletewa mikosi ktkt maisha na kazi zako kwa kumpotezea mtu muda ,