Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
polygamy is allowed.
Not allowed in Christianity!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
polygamy is allowed.
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana JF ili nisiwaumize wote kati yao.?!
ha ha ha ha ha kumbeeeeeeeh! lol! king'astiHuwajui watoto wa siku hizi! Wataanza kumuendea kwa mganga wote afu atashika adabu yake!
Asanteni kwa ushaur wenu, kiukwel hao wacchana wanajigonga wenyewe kwangu wala ckuwatongoza..daaaaah
Huwajui watoto wa siku hizi! Wataanza kumuendea kwa mganga wote afu atashika adabu yake!