Wanawake zama hizi kucheza kwa kubinua na kutikisa makalio kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.

Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.

Je, kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

Karibuni

Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
 
Hata miaka ya 80 ilikuwa hivyo; zama hizo walikuwa wanaweka duara, kisha mmoja baada ya mwingine anakatika.
Ni staili ya zamani imebebwa na teknolojia
 
Siku hizi wanainama, mikono inagusa chini, alafu wanaanza kuyasukuma matakoyao waliyasasambuaaaa

Daahhhh inanitoaga udenda balaaa
 
wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.

Je kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?
Unamaanisha👇
1729734150268.png
 
Washajua kinachowapagawisha. Biashara inatangazwa hapo. Sasa hivi naona kuna fasheni ya kuvaa matshirt makubwa halafu nyuma inapandishwa mpaka kiunoni ili eneo la tako lionekane bila kuzibwa na tshirt
 
Charaza viboko 4 yatoshs kuyafunika kwa stAhe
 
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.

Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.

Je, kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

Karibuni

Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Wewe unaonaje? Hupendi?
 
Nafikiri nyie wanaume ndo mnasababisha hii hali inazidi kudumu na kukua kwa kasi, maana wanacheza hivo ili kuwawinda nyie na mnawindika kwelikweli😄, anyway binafsi naonaga kama wanapandwa na maruhani/mapepo wanahitaji maombi hao
 
Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.

Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.

Je, kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?

Karibuni

Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
jamii mbovu imeharibiwa na ccm.
 
Back
Top Bottom