Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Unamaanishašwanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.
Je kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?
Washajua kinachowapagawisha. Biashara inatangazwa hapo. Sasa hivi naona kuna fasheni ya kuvaa matshirt makubwa halafu nyuma inapandishwa mpaka kiunoni ili eneo la tako lionekane bila kuzibwa na tshirt
Wewe unaonaje? Hupendi?Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.
Nawakariibisha kwa majibu, maoni na mtizamo kuhusu wanawake kubinua na kutikisa makalio hovyo kila pahala, hususani kwenye sherehe, matamasha, kupost video mitandaoni na etc.
Je, kuna namna wanaume tumefeli au ni mashetani yao tu?
Karibuni
Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
jamii mbovu imeharibiwa na ccm.Hello members, nawasalimia kwa vibes za jukwaa tukufu, jukwaa linalohuisha maisha yetu na linatufanya tuishi bila stress.