Abya janga mwenyewe! tusiseme ukweli? mbombo iko wapi hapa. Semeni mlikotoa maneno hayo.......kama si kujikweza na lugha ya watu......alafu ikawashinda ni nini?
Halafu ukiwakuta wanyakyusa 2 au zaidi(hasa wanawake) wanaongea lugha yao. Utadhani kuna ugomvi.
huyu..."filombe fya komoni ....x%^&**"......yule...."namlonda baba lugano....tangu jusi si jui abhukile kughu?.."......n.k....................halafu volume = MAXIMUM.....................lol..............MWE!