Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u muhimu ndani ya uongozi wa yanga.
Huyo mpuuzi aliyezusha hilo jambo tunamchukulia kama ayawani tu anaetumika ili apate mkate wake wa kila siku, atuko tiyali na atutokuwa tiyali kukaribisha mbinu yoyote ile chafu kutuondoa kwenye mipango na mikakati yetu, tunarudia tena Nabi bado yupo Sana yanga na ataendelea kuwepo kuijenga timu na tutampa kila aina ya msaada kuhakikisha anayafikia malengo yake aliyokabidhiwa na uongozi.
Tunakwenda Nigeria kupambana kiume, bado tunazo dk 90 nyingine ndani ya uwanja wanaobeza wabeze lakini tunajua tunachokifanya ni suala la muda tu kwani muda ni mwl mzuri Sana, Nabi ataendelea kuchapa kazi yanga wanaosubilia tumfukuze watafute kichaka kingine hizo propaganda mfu zimeshaferi