WanaYanga karibuni tumpigie kura chezaji la kimataifa Kahraba kuchukua player of the week CAFCL

WanaYanga karibuni tumpigie kura chezaji la kimataifa Kahraba kuchukua player of the week CAFCL

Kwa vile mmeona upepo wa Al ahly unaenda vizuri kutokana na kuwa followers wengi, mmeamua kutembelea nyota, mbona atukuwaona wiki iliyopita?
 
AISEE WATANZANIA NI WATU WA KUWACHUNGUZA KWA MAKINI SANA.SI WATU WA KAWAIDA JAPO SI WOTE.
 
Siku hizi wachawi ni vijana kabisa...ugumu wa maisha umewafanya watu wamekua na roho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom