Wanayanga Mnaoshangilia kina Davis Mosha na Bib kleib mtalia baadaye

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib

Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan ahata zogo la mapato ya juzi ya utopolo day ulionyeshwa dharau sana na unajua soon senzo mfumo mpya ukianza ndo kabisa utaonekana useless kuliko sasa hivi

Ndugu zangu wana utopolo aliyewaambia kina Mosha na Gsm wanaiva ni nani? najua mtatukana kama tulivyosema kuhusu Nugaz na Bumbuli kukasirika uwepo wa msukule mkabisha na hili mtakuja kukiri siku moja

Nikireport toka kurasini bandarini ni mimi nzagambadume a.k.a MZEE TOZI..MZEE M bad KABISA KIBOKO YA MAJITU YENYE TAMAA YA PESA..WAZEE WA BANDARI MELI HIYOOO POOOOOOH
 
Mosha,bin Kleb na GSM wapinzani wa biashara kwenye kutaka kujenga Nyumba Moja lakini Uzuri Bin Kleb na GSM ni Msoga line huyu Mosha nae alikua huko lakini tusubiri!!!... Utopolo waanze kutia nywele maji kusubiri kunyolewa!!!
 
Mosha,bin Kleb na GSM wapinzani wa biashara kwenye kutaka Nyumba Moja lakini Uzuri Bin Kleb na GSM ni Msoga line huyu Mosha nae alikua huko lakini tusubiri!!!... Utopolo waanze kutia nywele maji kusubiri kunyolewa!!!
NAFURAHIA SANA UTOPOLO WAKIGOMBANA LAKINI NI WACHACHE SANA WATAKAOJUA KWAMBA hat kina aveva walikuwa sacrificed kupisha njia kwa MO.

Kaburu, Aveva, hanspope, Mosha, Bin kleib wote kitu kimoja tu na mchezo uliochezwa hapa ni Msollwa kutafuta watu wenye nguvu kuji protect wenye akili wataelewa
 
Huo mfumo wao mpya wa uendeshaji ndo unavyotaka au? CEO mpya atakua na kazi gani sasa? Yanga inatia huruma asee. Msukule juzi kawaahidi kombe litakalokuja kwa matamko bado hamjaridhika?

Mko desperate sana hamtafanya lolote. Mngekua Arsenal nadhani mngevunja team
 
Huo mfumo wao mpya wa uendeshaji ndo unavyotaka au? CEO mpya atakua na kazi gani sasa? Yanga inatia huruma asee. Msukule juzi kawaahidi kombe litakalokuja kwa matamko bado hamjaridhika? Mko desperate sana hamtafanya lolote. Mngekua Arsenal nadhani mngevunja team
Msolla kaliona hilo kwa sasa tu anadharaulika, haoa wawili aliowaongeza wanaenda kusimama naye kidete utopolo msio na akili mnachekelea tu ushajiuliza Nugaz yule ambaye kila siku kutwa kusema chapa GSSSM leo anaandika waraka wa kuaga bila kuitaja GSM?

Mimi natoa facts tu kama una akili kaa chini utafakari, kuhusu kutifuana its just a matter of time
 
Huo mfumo wao mpya wa uendeshaji ndo unavyotaka au? CEO mpya atakua na kazi gani sasa? Yanga inatia huruma asee. Msukule juzi kawaahidi kombe litakalokuja kwa matamko bado hamjaridhika?!
Mko desperate sana hamtafanya lolote. Mngekua Arsenal nadhani mngevunja team
NAFURAHIA SANA UTOPOLO WAKIGOMBANA LAKINI NI WACHACHE SANA WATAKAOJUA KWAMBA hat kina aveva walikuwa sacrificed kupisha njia kwa MO
Kaburu, Aveva, hanspope, Mosha, Bin kleib wote kitu kimoja tu na mchezo uliochezwa hapa ni Msollwa kutafuta watu wenye nguvu kuji protect wenye akili wataelewa
Mosha,bin Kleb na GSM wapinzani wa biashara kwenye kutaka kujenga Nyumba Moja lakini Uzuri Bin Kleb na GSM ni Msoga line huyu Mosha nae alikua huko lakini tusubiri!!!... Utopolo waanze kutia nywele maji kusubiri kunyolewa!!!
Naona shangwe kubwa utopoloni kuhusu Kina Mosha na Bin kleib, hivi nyie watu mshasahau kina kaburu hata hans pope na aveva walichokuwa wanafanya simba? ndicho hicho cha kina Mosha na Bin kleib

Ila hongera kwa mwenyekiti msolla umeleta "wahuni wa soka la bongo" kuku protect hapo klabuni maan ahata zogo la mapato ya juzi ya utopolo day ulionyeshwa dharau sana na unajua soon senzo mfumo mpya ukianza ndo kabisa utaonekana useless kuliko sasa hivi

Ndugu zangu wana utopolo aliyewaambia kina Mosha na Gsm wanaiva ni nani? najua mtatukana kama tulivyosema kuhusu Nugaz na Bumbuli kukasirika uwepo wa msukule mkabisha na hili mtakuja kukiri siku moja

Nikireport toka kurasini bandarini ni mimi nzagambadume a.k.a MZEE TOZI..MZEE M bad KABISA KIBOKO YA MAJITU YENYE TAMAA YA PESA..WAZEE WA BANDARI MELI HIYOOO POOOOOOH
Naona MAKOLO FC mnademka wenyewe [emoji16].....Ila big up kwa kutuanzishia uzi mpya kila dakika maana mmakonde alisema usipoongelewa ujue hauna makeke [emoji24][emoji24][emoji24]...wapi semaji jipya MWIJAKU.
 
😂 washavurugwa na kitimu cha msaada wa bashite,bashite now hayupo miamba inarudi mikia full kujiharishia,wale miamba hadi mo anawaogopa unadhani hawa makolo kolo wengine itakuaje,wametunyanyasa sana hawa pambavu,tulikua kama wakiwa
 
Bin Kleb ni Yanga lialia mwenye misuli ya pesa na ushawishi pale jangwani,hii ni speed gavana ya kumdhibiti gsm asifanye kila anachotaka.
hawawezi elewa hii michezo hawa misukule oyaoya wanachopitia utopolo Mo alipitia 2017 hadi kuja kutulia hivi si mchezo kina Nkwabi walisusa baada ya kuona uenyekiti hauna issue tena, mwakalebela na msolla hawata give up kirahisi subiri senzo aanze kushika grip vizuri utafurahia show yake
 
😂 washavurugwa na kitimu cha msaada wa bashite,bashite now hayupo miamba inarudi mikia full kujiharishia,wale miamba hadi mo anawaogopa unadhani hawa makolo kolo wengine itakuaje,wametunyanyasa sana hawa pambavu,tulikua kama wakiwa
vyuraa.jpeg
mmesajili sukule letu liliokuwa linatupa makombe jameeni ,dah itakuwaje sasa ,kama nawaoana vile utopoloni mnavyoleta makombe kemukemu.....🤣😂
 
We ndondocha senzo akili kubwa,mwenzako leo anaeanzia na jina o kaniblock kwa ajili ya kumsifia senzo
Akili kubwa kweli kawapeni mapinduzi cup.. huyo senzo wewe ulimjulia wapi kama sio simba? Na simba kapata ujiko yakiwemo makombe sababu ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na mo, kama ye akili kubwa aende dodoma jiji tuone afanye maajabu, na hata hapo yanga ni kipi cha maana zaidi ya lile kombe la bonanza mapinduzi cup
 
Back
Top Bottom