Wanayanga tujipange msimu ujao, kikosi chetu kinahitaji wachezaji kama wa 4

Jbst

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2020
Posts
1,971
Reaction score
4,085
Kiukweli baada ya hii game ya medeam narudia tena kusema yanga inahitaji wacheza 4.
1.Winga mwenye ubunifu wa kumiliki mpira,kasi na winga anayelifuata box la adui akiwa na mpira. Sijui tutampata wapi lkn anahitajika winga. Piga chini moloko

2. Holding midfielder mwepesi na mwenye ubora ili Aucho akacheze central midfielder

3. Striker aina ya Mayele au kama huyo striker wa medeama anafaa sana ana nguvu, mwepesi, analijua goli na hata ukimpa mbaya anapokea.

4. Beki wa kushoto mrefu mwenye nguvu, anaweza panda na kushuka kwa uwiano sawa kama yule mwinyi haji beki wa zaman wa yanga.

Kikos chetu kwa level ya champion liague kina bado sana.

Kingine Gamond ni kocha mzuri lakini hana mbinu kulingana na mechi husika, Nabi alikua anabadilika kulingana na mpinzani alivyo na alikua hatabiriki kabsa ila gamond mh!!

Kwa msimu huu habar yetu imeishia hapa, medeama kama wakipata sare dhidi yetu hapa taifa nina uhakika watafuzu, hawa wanaweza pata matokeo kule algeria.

Ikitokea tumefuzu itakua maajabu kweli kweli lkn naon tumeishia hapa kwa msim huu.
 
Kwakweli kutoboa with striking force ya Mzize na Msonda Champions league ni haiwezekani. Fully Baki ya Kibabage duu, kwakweli hapana. Dogo Kila mpira anaopata anaharibu
 
Kwakweli kutoboa with striking force ya Mzize na Msonda Champions league ni haiwezekani. Fully Baki ya Kibabage duu, kwakweli hapana. Dogo Kila mpira anaopata anaharibu
Umeona jinsi yule striker wa medeama anavipokea mpira ? Huyo ndo mshambuliaji sasa achana na hawa kina musonda hapana kwa kweli. Yule jamaa yupo fit sna
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
 
Hili likocha lina ma vidot mwili mzima mmeliokota wapi
 
Kocha pia anachangia hana mbinu
Alafu ni mzito wa kufanya substitutions
 
Tukupe wewe Ukocha wa Yanga?
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Nabi mwenyewe yuko wapi? Alitolewa mapema mno

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Mkuu ligi ya mabingwa ina ugumu kuliko shirikisho,timu za club bingwa nyingi ziko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Always washabiki hutoa maoni bahada ya kuona matokeo huyu kocha alikua Bora kabisa kabla ya hii hatua ya makundi sasa. Matokeo ya hizi mechi mnahanza kunugunika, kua na uvumilivu mwalimu alaumiwe akishindwa kuvuka hatua ya makundi, kundi bado liko wazi Kwa yeyote kusonga mbele
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
1 ✅ moloko angekuwepo kingetokea kitu , pengine hajawa fit maana alikuwa anaumwa.

2. Muda ✅ sijui kwanini hakupangwa ❎ sureboy ameporomoka Kiwango rejea mechi ya ihefu

3.✅ Lomalisa majeruhi , dogo kibabage anapenda chenga mahali pasipohitaji chenga anapoteza nafasi nyingi

4 ❎mzize uwezo wake umefika mwisho ,
✅musonda anakitu
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Mbinu za Nabi za kumfondokea mpinzan kimoja na kubutua butua ni nzuri kuliko pita tamu la Gamondi?.

Hivi Yanga tumelogwa au vipi?. Hii timu hakuna mfungaji thabiti pale.. musonda tayar hatoshi.. na mfungaji awe na uwezo kuchosha na kukaa n mpira. Phiri pale atatufaa sana tumfanyie mipango apatikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…