Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
- Thread starter
-
- #21
Tunapoongea mambo sirias acha kuleta upimbi.1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.
nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Naongelea winga wa kisasa anayemiliki mpira na kulifata box akiwa na mpira. Huyo anauwezo wa kufanya hivo? Hebu toa upumbavu. Moloko hana akili ya mpira.
Naongelea holding midfielder unanitajia midathir!! Hivi ww unaujua kweli mpira ? Toka lin mudathin akawa holding midfielder? Unayajua kweli majukumu ya holding midfielder ww? Hebu kajifunze kwa mpira ndo uje utoe maoni kwa watu wanaoufaham mpira.
Lomalisa ni mzuri tu Kama team ikiwa ina shambulia ila kwenye kuzui ana madhaifu mengi sana