Wanayanga tujipange msimu ujao, kikosi chetu kinahitaji wachezaji kama wa 4

1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Tunapoongea mambo sirias acha kuleta upimbi.

Naongelea winga wa kisasa anayemiliki mpira na kulifata box akiwa na mpira. Huyo anauwezo wa kufanya hivo? Hebu toa upumbavu. Moloko hana akili ya mpira.

Naongelea holding midfielder unanitajia midathir!! Hivi ww unaujua kweli mpira ? Toka lin mudathin akawa holding midfielder? Unayajua kweli majukumu ya holding midfielder ww? Hebu kajifunze kwa mpira ndo uje utoe maoni kwa watu wanaoufaham mpira.

Lomalisa ni mzuri tu Kama team ikiwa ina shambulia ila kwenye kuzui ana madhaifu mengi sana
 
Michuano tofauti Hapa ni degree CL ,nabi alikwama akakimbilia diploma Confederation
 
Tukupe wewe Ukocha wa Yanga?
Ww binti nakuonya, wanaume tunapozungumzia football hauapswi kuandika chochote hapa kachangie kwenye majukwaa yenu ya mapenz ya jinsia moja ndo unachokifaham labda.

Tunatoa maon kwa team yetu ww pimbi unakuja kuandika usenge!!
 
Un
Tunapoongea mambo sirias acha kuleta upimbi.

Naongelea winga wa kisasa anayemiliki mpira na kulifata box akiwa na mpira. Huyo anauwezo wa kufanya hivo? Hebu toa upumbavu. Moloko hana akili ya mpira.

Naongelea holding midfielder unanitajia midathir!! Hivi ww unaujua kweli mpira ? Toka lin mudathin akawa holding midfielder? Unayajua kweli majukumu ya holding midfielder ww? Hebu kajifunze kwa mpira ndo uje utoe maoni kwa watu wanaoufaham mpira.

Lomalisa ni mzuri tu Kama team ikiwa ina shambulia ila kwenye kuzui ana madhaifu mengi sana
Ungeweza kuandika kistaarabu bila kunitukana usingepungukiwa kitu.
 
Tunapoongea mambo sirias acha kuleta upimbi.

Naongelea winga wa kisasa anayemiliki mpira na kulifata box akiwa na mpira. Huyo anauwezo wa kufanya hivo? Hebu toa upumbavu. Moloko hana akili ya mpira.

Naongelea holding midfielder unanitajia midathir!! Hivi ww unaujua kweli mpira ? Toka lin mudathin akawa holding midfielder? Unayajua kweli majukumu ya holding midfielder ww? Hebu kajifunze kwa mpira ndo uje utoe maoni kwa watu wanaoufaham mpira.

Lomalisa ni mzuri tu Kama team ikiwa ina shambulia ila kwenye kuzui ana madhaifu mengi sana
Achana nae chizi you
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Kuna baadhi ya game Mayele alikuwa anaibeba Yanga mabegani, pengo lake liko wazi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hapo no.1. Mnataka kumwacha mbeba tunguli wenu Jesus Moroko? Yule huwa anasaidiwa na juju, Hana maajabu yoyote nje ya hapo.
 
Kwani simba mlimfunga 5 na team gani?
 
1.Winga mwenye speed yupo Moloko.
2.Holding midfielder yupo Mudathir na sureboy.
3.Beki Lomalisa anatosha.
4.Mshambuliaji yupo Mzize na Musonda.

nb.
Kikosi hichi hichi Nabi ndo alisumbua nacho, sasa hivi tatizo ni mbinu za kocha.
Tatizo sio wachezaji wala mbinu za kocha tatizo lipo kwa aina ya timu mnazo kutana nazo uwezo wao uko juu kuliko vibonde mlio kuwa mnacheza nao kwenye shirikisho.
 
Tunapoongea mambo sirias acha kuleta upimbi.

Naongelea winga wa kisasa anayemiliki mpira na kulifata box akiwa na mpira. Huyo anauwezo wa kufanya hivo? Hebu toa upumbavu. Moloko hana akili ya mpira.

Naongelea holding midfielder unanitajia midathir!! Hivi ww unaujua kweli mpira ? Toka lin mudathin akawa holding midfielder? Unayajua kweli majukumu ya holding midfielder ww? Hebu kajifunze kwa mpira ndo uje utoe maoni kwa watu wanaoufaham mpira.

Lomalisa ni mzuri tu Kama team ikiwa ina shambulia ila kwenye kuzui ana madhaifu mengi sana
Mrudisheni Morrison
 
Kiukweli baada ya hii game ya medeam narudia tena kusema yanga inahitaji wacheza 4.
1.Winga mwenye ubunifu wa kumiliki mpira,kasi na winga anayelifuata box la adui akiwa na mpira. Sijui tutampata wapi lkn anahitajika winga. Piga chini moloko

2. Holding midfielder mwepesi na mwenye ubora ili Aucho akacheze central midfielder

3. Striker aina ya Mayele au kama huyo striker wa medeama anafaa sana ana nguvu, mwepesi, analijua goli na hata ukimpa mbaya anapokea.

4. Beki wa kushoto mrefu mwenye nguvu, anaweza panda na kushuka kwa uwiano sawa kama yule mwinyi haji beki wa zaman wa yanga.

Kikos chetu kwa level ya champion liague kina bado sana.

Kingine Gamond ni kocha mzuri lakini hana mbinu kulingana na mechi husika, Nabi alikua anabadilika kulingana na mpinzani alivyo na alikua hatabiriki kabsa ila gamond mh!!

Kwa msimu huu habar yetu imeishia hapa, medeama kama wakipata sare dhidi yetu hapa taifa nina uhakika watafuzu, hawa wanaweza pata matokeo kule algeria.

Ikitokea tumefuzu itakua maajabu kweli kweli lkn naon tumeishia hapa kwa msim huu.
Huyo straika wa medeama ni mzee na hana maajabu
 
Umeangalia anavocheza lkn? Hata ronaldo ni mzee pia.

Huyo jamaa anajua mpira na hao ndo mastriker sasa sio hao kina musonda, huyo jamaa kwa ana nguvu, kasi na uwezo kukaa na mpira tofauti na hao kina musonda. Huyo jamaa amekamilika sana
 
Huyo straika wa medeama ni mzee na hana maajabu
Umeangalia anavocheza lkn? Hata ronaldo ni mzee pia.

Huyo jamaa anajua mpira na hao ndo mastriker sasa sio hao kina musonda, huyo jamaa kwa ana nguvu, kasi na uwezo kukaa na mpira tofauti na hao kina musonda. Huyo jamaa amekamilika sana
 
Tatizo sio wachezaji wala mbinu za kocha tatizo lipo kwa aina ya timu mnazo kutana nazo uwezo wao uko juu kuliko vibonde mlio kuwa mnacheza nao kwenye shirikisho.
Na kibonde mwingine tuliekutana nae kwenye derby ya kariakoo tukamtia 5
 
Kiukweli baada ya hii game ya medeam narudia tena kusema yanga inahitaji wacheza 4.
1.Winga mwenye ubunifu wa kumiliki mpira,kasi na winga anayelifuata box la adui akiwa na mpira. Sijui tutampata wapi lkn anahitajika winga. Piga chini moloko

2. Holding midfielder mwepesi na mwenye ubora ili Aucho akacheze central midfielder

3. Striker aina ya Mayele au kama huyo striker wa medeama anafaa sana ana nguvu, mwepesi, analijua goli na hata ukimpa mbaya anapokea.

4. Beki wa kushoto mrefu mwenye nguvu, anaweza panda na kushuka kwa uwiano sawa kama yule mwinyi haji beki wa zaman wa yanga.

Kikos chetu kwa level ya champion liague kina bado sana.

Kingine Gamond ni kocha mzuri lakini hana mbinu kulingana na mechi husika, Nabi alikua anabadilika kulingana na mpinzani alivyo na alikua hatabiriki kabsa ila gamond mh!!

Kwa msimu huu habar yetu imeishia hapa, medeama kama wakipata sare dhidi yetu hapa taifa nina uhakika watafuzu, hawa wanaweza pata matokeo kule algeria.

Ikitokea tumefuzu itakua maajabu kweli kweli lkn naon tumeishia hapa kwa msim huu.
kwani sisi humu ndio tunaowanunua hao wachezaji
 
Back
Top Bottom