Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
Habarini wanabodi.
Kumekua na jitahada na matumizi ya nguvu kubwa ya kipropaganda inayoenezwa na wasioitakia mema timu yetu ambayo huzua taharuki miongoni mwa wanayanga. Iko wazi kuwa kocha wetu zahera amekua mwiba kwa washindani wetu kwa misimamo yake isiyotetereka. Kocha huyu kipenzi cha wanajangwani amekua akizushiwa mambo mengi kwa lengo la kumgombanisha na uongozi na mamlaka. Tuwe makini si kila habari ina ukweli sometime ni upotoshaji tu