Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu.
Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani wanateta maslahi ya club yetu, uongozi uliopo ni wakijanja janja tuukatae.
Kesho asubuhi na mapema tukutane pale makao makuu ya club na mabango yanayosomeka. Hersi out out hatukutaki.
PIA SOMA
- Millard: Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!