Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu.
Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua garagaza, ponda ponda...saga kabisa choma moto. Ubingwa ni wa Yanga. Tunacheza ndani na nje ya Uwanja.
Daima mbele....nyuma mwiko.